Disquito de musica.com

LETRA 'KIPCHOGE'

VERSE 1
Run Kipchoge maziwa ni ya ng’ombe
Unapiga cup mbili unapata hakuna uzembe
Run keep jogging London kuvishwa pete
Kupigia safaricom ambassador Kipchoge

Wanadhani ati fala kumbe baba ndio master
Marathon runner pigwa yako bundas
Wanadhani kuzeeka ati ni laana
Iza sana brother London kuachwa nyuma

Tick for the strong yaani Nikey sio puma
Peace and move on big medal ndani ya nyumba
Eliud Kipchoge nakubig up kwa hii ngoma
Umewatesa tukatii mafala kubaki zii

Kula double G yaani gold ya pilii
Wazungu wametii pigwa bare na monkey
Itabidi wamechill kenya top juu ya tree
Kenye uliduu iliniacha nimefreeze.

2ND CHORUS
-Run, Kipchoge ×4 Run, Kipchoge ×4.
-Run, keep jogging ×4 Run, keep jogging ×4.

Run Kipchoge maziwa ni ya ng’ombe
Unapiga cup mbili unapata hakuna uzembe
Run keep jogging London kuvishwa pete
Kupigia safaricom ambassador Kipchoge

Run, Kipchoge ×4
Run, keep jogging ×4

VERSE 2
Run Kipchoge again and again
Run keep jogging things ain’t same
Kenya at the top 254 fame
Delo on the beat Kipchoge on the Track

If you wanna leave please don’t come back
If you want beef please come with a snack
Kenya rising fast no ni*** wanna slack
Ex Bomboclats ka ni pimbi mi na dash

Parte after Parte kila celebration bash
Pima ka kilo kitu safi yaani shash
Pressure iko zero sema go ucheki flash
Delo ndio hero Kipchoge pia bas. Bas bas

Sammy Wanjiru 2011 akapass
Wakapiga manduru story kuwa past
Ajuae ni mungu evidence sio must.
Gas ×6 ONLYONEDELO ALO

3RD CHORUS
-Run, Kipchoge ×4 Run, Kipchoge ×4.
-Run, keep jogging ×4 Run, keep jogging ×4.

Run Kipchoge maziwa ni ya ng’ombe
Unapiga cup mbili unapata hakuna uzembe
Run keep jogging London kuvishwa pete
Kupigia safaricom ambassador Kipchoge

Run, Kipchoge ×4
Run, keep jogging ×4

King of Genge ONLYONEDELO Alo Alo
Ata usipo jam kwa hii ngoma bado utadedi Alo.